LyricM

Diamond Platnumz, Chley – Shu! (Lyrics)

Sandakalawe Amen

Mwenye kupata amen

Haya kagawe amen

Wanaitaka amen

Sandakalawe Amen

Mwenye kupata amen

Haya kagawe amen

Wanaitaka amen

Ukiileta kwa wahuni tunaila

Na hatutoi bondi

Kwa utamu gani si ntaipata hata

Kwa sabuni

Chi ukinitia tunavichuna na

Hatubakishi sumni

Mana umeyataka si

Unajifanya kibosi nyangumi

Ebooo! Kama kanajipitisha

Afu hakashei namba

Kateme kabisa si hakana ushamba

Kanavyokatika alafu akashei namba

Kateme kabisa si hakana ushamba

Kana uh Kana Uh Kana Uh

Kana ushamba

Kana uh Kana Uh Kana Uh

Kana ushamba

Kibane bane mwisho kiliwe na nyenyere

Kibane bane mwisho kiliwe na nyenyere

Kama kanajipitisha

Afu hakashei namba

Kateme kabisa si hakana ushamba

Kanavyokatika alafu akashei namba

Kateme kabisa si hakana ushamba

Kana uh Kana Uh Kana Uh

Kana ushamba

Kana uh Kana Uh Kana Uh

Kana ushamba

(Lyrics)
  1. LyricM
  2. (Lyrics)
© LyricM.com | Privacy Policy | Cookie Policy | DMCA