Rayvanny – Forever (Lyrics)
Forever, forever…
Nilianza kusikia sauti yako
Kabla sijaona sura
Ikafanya nikageuka
Macho yangu yakakutana na yako
Oooh Mashallah
Nikahisi Malaika ameshushwa
Maana rangi macho umbo lako
Likanivuta kwako tuongee
Nikakuuliza jina lako namba yako
Ndio ulikuwa mwanzo wa mi na wewe
Uuuh baby
Umenifungulia dunia ya mapenzi
Nimesahau mateso
Nakufungulia dunia yakukuenzi
We ni wangu leo na kesho eeeh eeeh
Nakupenda, sikuachi
We ni wangu, I promise
Nakutaka, kando yangu
Sikuachi, I promise
Mi na wewe
Forever, forever
Forever, me and you
Me and you forever, baby
Forever, forever
Forever, mi na we
Nitazikwa nawe
Mtoto mbichi teketeke aki mama umelainika
Umeumbika acha nikumwagie sifa
Waruke sarakasi na mateke uzuri wako hawatofika
Mama umejazisha mikate yakumiminisha
Baby waonyeshe cheko (cheko)
Wape mideko (deko)
We mzuri, filter na make up waachie wao
Na unawapa mateso (teso)
Watajifunika leso
Waonyeshe kiburi wajue wewe ndio mama lao
Aiyaa yaaah
Umenifungulia dunia ya mapenzi
Nimesahau mateso
Nakufungulia dunia yakukuenzi
We ni wangu leo na kesho
Nakupenda, sikuachi
We ni wangu, I promise
Nakutaka, kando yangu
Sikuachi, I promise
Mi na wewe
Forever, forever
Forever, me and you
Me and you forever, baby
Forever, forever
Forever, mi na we
Nitazikwa nawe